KWA YANGA HII, SIMBA BINGWA MSIMU UJAO – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

 

“Nimewatazama Wapinzani wote msimu huu naiona Simba yetu ikifanya maajabu ya dunia. Mpaka sasa Simba ndio timu yenye Wachezaji bora wenye viwango vikubwa mno, kilichobaki ni Mwalimu kutengeneza timu yenye mtiririko, muunganiko na maelewano ya pamoja”

 

 

“Eneo pekee linalohotaji nguvu mpya ya Nje ni eneo la Ushambuliaji nalo viongozi wetu wanakamilisha mpango hivi punde.Wana Simba tuwe na subira tumpe nafasi Mwalimu wa kufanya kazi yake tutakapoanza kula matunda ya furaha kila mtu atapata tunda lake” Ahmed Ally,Meneja Habari wa Klabu ya Simba.

Related Posts