Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa kabla ya mazungumzo yaliyofanyika Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake (kushoto) akizungumza na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa, Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024 . Kulia kwa Waziri Mkuu ni Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa zawadi ya picha inayoonyesha nyumbu wanaovuka mto Mara kaaika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, baada ya mazungumzo yaliyofanyika Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa, Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)