Viwanja vya Ligi Kuu Bara 2024-2025

KWA mujibu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), msimu huu wa 2024-2025, Ligi Kuu Bara itachezwa kwenye viwanja 13 vilivyopo mikoa 10 tofauti.

Katika orodha ya viwanja hivyo ambavyo vimetajwa kwenye ratiba ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2024-2025, Mkoa wa Dar es Salaam ndiyo wenye utajiri wa viwanja kutokana na kuwepo vinne kati ya 13.

Hapa kuna orodha ya viwanja hivyo 13, sehemu vinapopatikana, timu mwenyeji wa viwanja hivyo na idadi ya mashabiki wanaoingia kwa mechi moja.  

Wenyeji: Tanzania Prisons, KenGold

Wenyeji: KMC, Simba, Coastal Union

Wenyeji: Singida Black Stars

Wenyeji: Yanga, Simba, Azam

Related Posts