Nukuu za Freeman Mbowe mbele ya waandishi wa habari

Ni Agosti 14,2024 ambapo Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amezungumza na waandishi wa Habari na hizi ni baadhi ya nukuu  zake

“Kawaida jeshi la Polisi linatumia nguvu pale mtu anapopinga,” Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe.

“Kwenye Jeshi la Polisi kuna watu wema,”Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe.

“Tunamuona Tundu Lissu kwa sababu leseni yake ya uwakili imerejeshwa,” Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe.

“Napenda kuwaambia jeshi la polisi Tanzania kwamba viongozi wa Chadema hawatorudi kuripoti kituoni kufuatilia kesi zilizofunguliwa dhidi yao” Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema

Related Posts