Nmb yajenga shule ya Samia,yazinduliwa Makunduchi ZNZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan leo hii emeifungua Shule ya Maandalizi ya Dkt Samia Suluhu Hassan Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja Tasani iliojengwa na Benki ya NMB

Shule ya Dkt Samia ina Madarasa matano ambapo kila moja linabeba wanafunzi Arubaini ikijumuisha ofisi za walimu ,Stoo Vyoo vya walimu na wanafunzi mifumo ya kisasa ,Eneo la Kucheza kwa watoto shule ,eneo la chakula ambayo imegharimu Millioni mia nane (800) na kila mwaka NMb hutenga fedha kwa Ajili ya Maendeleo.

Related Posts