SIMBA QUEENS YAFUZU NUSU FAINALI CECAFA – MWANAHARAKATI MZALENDO

#MICHEZO Timu ya Wanawake Simba Queens imefuzu kutinga hatua ya nusu fainali Michuano ya CAF Women’s Champions League CECAFA Qualifiers baada ya kuichapa mabao 3-0 klabu ya Kawempe Muslim Women ya nchini Uganda

Mabao hayo matatu ya Simba Queens yamepachikwa nyavuni na; Vivian Corazone (Goli la kwanza) , Jentrix Shikangwa (Goli la Pili) na Elizabeth Wambui (Goli la tatu).

#SimbaQueens #KawampeMuslim

#KonceptTvUpdatesInaweza kuwa picha ya Watu 4, watu wanacheza kandakanda, watu wanacheza soka na maandishi

Related Posts