WAZIRI JAFO ATETA NA WAMILIKI WA VIWANDA VIDOGO NA WAZALISHAJI WADOGO TANZANIA

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo  amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Chama cha wamiliki wa Viwanda vidogo na Wazalishaji wadogo Tanzania (TASSIM) ukiongozwa na Mtendaji Mkuu Bw.Elia Joseph, Agosti 20,2024 katika Ofisi ndogo ya Wizara Jijini Dar es Salaam.

Mazungumzo hayo yamejikita katika maandalizi ya Siku ya wamiliki wa Viwanda vidogo na wazalishaji wadogo Nchini yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni.

Related Posts