NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA WALIKUWA WANAMCHOSHA – RAIS WA YANGA – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

 

“Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje huku ambako kuna wachezaji wazuri ambao hawatomchosha kama kule.

 

 

 

Wewe angalia kikosi chetu kuna mtu anaitwa Bhoka ana balaa zito sana na yule watu watamfaidi kwenye viwanja vikubwa ndo watamjua vizuri Bhoka” Hersi Said, Rais wa klabu ya Yanga

 

 

 

Credit : JanaNaLeo : Wasafi FM

Related Posts