nchi zatumia vizuizi vya usafiri kama mbinyo kwa upinzani – DW – 22.08.2024

22 Agosti 2024

Takriban serikali 55 duniani kote zinatumia vizuizi vya usafiri kama sehemu ya mbinu zao za ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa kisiasa. Shirika la kutetea haki za binadamu la mjini Washington Freedom House limesema.

https://p.dw.com/p/4jmRH

Tunisia, Tunis | Polisi waliojihami kuwakabili wapinzani wa Rais Kais Saied
Polisi wa Tunisia wakiwa wamejihami kuwakabilia waandamanaji wanaopinga sera za rais Kais Saied.Picha: Zoubeir Souissi/REUTERS

Shirika hilo limesema mbinu za kunyang’anya hati za usafiri, kufutilia mbali uraia, na kunyima huduma za kibalozi ni baadhi tu ya mbinu zinazotumiwa na serikali kunyamazisha sauti za wapinzani.

Soma pia:Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela awahamasisha upinzani kuendelea kupambana
Ripoti hiyo inahusisha sehemu ya mahojiano ya watu 31 kutoka Belarus, India, Nicaragua, Rwanda na Saudi Arabia.
 

Related Posts