Picha:Makamu wa Rais Dkt.Mpango akikabidhi Kombe kwa Mabingwa wa Kizimkazi Samia Youth Cup 2024

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhi Kombe kwa Mabingwa wa Kizimkazi Samia Youth Cup 2024 ambayo ni timu ya Shule ya Sekondari Kusini mara baada ya kuifunga Shule ya Sekondari Muyuni jumla ya magoli 3-0 katika mchezo wa fainali uliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Zanzibar tarehe 24 Agosti 2024 ikiwa ni shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi.

 

Related Posts