Kikao kati ya maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara wa kichina kimefanyika katika Hotel ya Rotana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuwaelimisha mambo mbali mbali ya kikodi pamoja kutafuta ufumbuzi wa changamoto walizonazo katika ulipaji wa kodi.
Kikao kikiendelea kati ya maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara wa kichina kimefanyika katika Hotel ya Rotana jijini Dar es Salaam.
Kikao kikiendelea.
Kikao kikiendelea.
Baadhi ya maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara wa kichina wakiwa katika Picha ya pamoja.