ALIYEUA KISA WIVU WA MAPENZI AKAMATWA – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

Jeshi la Polisi linamshikilia Jackson Maregesi Magoti mwenye miaka 34, Mkazi wa Michese Jijini Dodoma kwa tuhuma za kumuua Anjela Stephano Joseph mwenye Miaka 23, Mkazi wa michese Jijini Dodoma, ambaye Julai 21,2024 majira ya saa saba na dakika arobaini mchana alikutwa ameuawa na mwili wake kufungwa ndani ya boksi kisha kutumbukizwa kwenye kiroba na kutupwa kichakani huko katika eneo la Miganga South.

Uchunguzi umebaini chanzo cha mauaji hayo ni kwamba alifanya hivyo kutokana na wivu wa mapenzi.

 

Related Posts