RAIS MWINYI AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU WAPYA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali aliowateua hivi karibuni iliyofanyika  Ikulu Zanzibar tarehe: 24 Agosti 2024.

Walioapishwa kuwa Makatibu Wakuu:

1.Dkt.Habiba Hassan Omar ameapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi .

2.Dkt.Mngereza Mzee Miraj ameapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya.

3.Ndugu Maryam Juma A.Saadalla ameapishwa kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais.

4 .Ndugu Khamis Suleiman Mwalim ameapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Kazi ,Uchumi na Uwekezaji .

Hafla hiyo ya uapisho   imehudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali , Dini na Vyombo vya ulinzi na Usalama.

#KonceptTvUpdates

Inaweza kuwa picha ya Watu 8, jukwaa na maandishi
Inaweza kuwa picha ya Watu 2 na maandishi
Inaweza kuwa picha ya Watu 4 na jukwaaInaweza kuwa picha ya Watu 3

Related Posts