KAMA ulimchukulia poa kiungo mpya wa Simba, Jean Charles Ahoua ulikosea kwani sasa ameanza kuuwasha moto ndani ya mechi mbili tu za Ligi Kuu Bara, na tayari ameahidi kuwa rekodi ndizo zitazungumza.