5 WAIBUKA VINARA WIKI HII KAMPENI YA “NI BALAA!” KUTOKA VODACOM – MWANAHARAKATI MZALENDO

NI BALAA! Kila Mtu ni Mshindi. Mshindi wa kampeni ya kidigital ya Ni Balaa kutoka Vodacom Tanzania Plc, Khalid Mohamed kutoka Temeke (kulia), akipokea hundi ya mfano ya TZS milioni 1 kutoka kwa Caleb Majo (kushoto), Meneja Mauzo Mwandamizi wa Dar es Salaam na Pwani kutoka Vodacom, katika Duka la Vodacom Mlimani City wiki hii.No alt text provided for this imageMshindi wa kampeni ya kidigitali kutoka Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa’, Zulfa Said kutoka Goba (kulia), akipokea hundi ya mfano ya TZS milioni 1 kutoka kwa Caleb Majo (kushoto), Meneja Mauzo Mwandamizi wa Dar es Salaam na Pwani kutoka Vodacom, katika Duka la Vodacom Mlimani City wiki hii.No alt text provided for this imageMshindi wa kampeni ya kidigitali kutoka Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa’, Omary Mohamed Abdallah kutoka Tuangoma (kulia), akipokea hundi ya mfano ya TZS milioni 1 kutoka kwa Caleb Majo (kushoto), Meneja Mauzo Mwandamizi wa Dar es Salaam na Pwani kutoka Vodacom, katika Duka la Vodacom Mlimani City wiki hii.No alt text provided for this imageMshindi wa kampeni ya kidigitali kutoka Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa’, Rajabu Mrisho Rajabu kutoka Kinondoni (kulia), akipokea hundi ya mfano ya TZS 500,000 kutoka kwa Caleb Majo (kushoto), Meneja Mauzo Mwandamizi wa Dar es Salaam na Pwani kutoka Vodacom, katika Duka la Vodacom Mlimani City wiki hii.

No alt text provided for this imageMshindi wa kampeni ya kidigitali kutoka Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa’, Bernado Osward kutoka Kawe (kulia), akipokea hundi ya mfano ya TZS 500,000 kutoka kwa Caleb Majo (kushoto), Meneja Mauzo Mwandamizi wa Dar es Salaam na Pwani kutoka Vodacom Tanzania, katika Duka la Vodacom Mlimani City wiki hii.

Related Posts