RAIS DKT SAMIA AHUDHURIA HAFLA YA UZINDUZI WA KAMPENI YA RAIS RAILA AMOLO ODINGA, WAZIRI MKUU MSTAAFU KENYA ANAYEWANIA NAFASI YA MWENYEKITI WA AU

 

Mhe. Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Kampeni , Ikulu ya Nairobi, tarehe 27 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Dkt. William Samoei Ruto Rais wa Jamhuri ya Kenya wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Mhe. Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Ikulu ya Nairobi, tarehe 27 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mwenyeji wake Mhe. Dkt. William Samoei Ruto, Rais wa Jamhuri ya Kenya katika Ikulu ya Nairobi tayari kwa kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Mhe. Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), tarehe 27 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Mhe. Dkt. William Ruto Rais wa Jamhuri ya Kenya pamoja na Viongozi wengine wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Mhe. Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Ikulu ya Nairobi, tarehe 27 Agosti, 2024.


Related Posts