WEZI WAMLIZA ELIUD KWA KUMUIBIA MALI KWENYE GARI YAKE – MWANAHARAKATI MZALENDO

Msanii wa Sanaa ya Vichekesho nchini, Eliud Samwel amesikitishwa na Kitendo cha baadhi ya Watanzania wanaopenda kuwakwamisha wengine au kuwafanya warudi nyuma kimaendeleo.

Amefunguka hayo kupitia akaunti yake ya Instagram ambapo amepakia video akieleza kwa masikitiko makubwa namna wezi wamemharibia gari lake, wamemuibia vitambulisho vyake (passport za kusafiria) vitendea kazi vyake, likiwemo vazi lake la suti ya njano ambayo imempa utambulisho mkubwa akiwa kwenye sanaa hiyo,

Je kwa upande wako unadhani nini kifanyike kudhibiti aina hii ya uhalifu?

Tuandikie maoni yako kuhusiana na hili

#KonceptTvUpdates

Related Posts