HII HAPA SABABU WACHEZAJI WENGINE KUTOITWA KIKOSINI TAIFA STARS – MWANAHARAKATI MZALENDO

Kocha msaidizi Kikosi cha Taifa Stars, Hemed Morocco amefafanua kwanini wachezaji wa kitanzania wengine wanaotarajiwa kuwepo kikosini hawajumuishwi kutokana na mapendekezo yanayotolewa.

“Najua kuwa Watanzania wangependa kuona wachezaji wengi wa Kitanzania ambao wanacheza soka la kulipwa nje wakiitwa, lakini lazima wajue kuwa sisi kama walimu kuna mambo ambayo huwa tunazingatia na wachezaji wapo wengi hivyo orodha ingekuwa ndefu,” Hemed Morocco, kaimu kocha wa Taifa Stars.

#KonceptTvUpdates

Inaweza kuwa picha ya Mtu 1, anacheza soka, anacheza kandanda na maandishi

Related Posts