Picha:Rais Samia akizindua ndege za mafunzo ya awali ya marubani na mabasi kwa JWTZ

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua na kugawa ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye hafla iliyofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji Jijini Dar es Salaam.

 

Rais Samia amesema atahakikisha Jeshi linapata vifaa madhubuti vinavyoendana na hali na mabadiliko ya kiusalama duniani ili kuhakikisha Tanzania iko salama.

 

Related Posts