ZUNGU AONGOZA MAPOKEZI YA SPIKA WA COMORO, MHE. MOUSTADROINE ABDOU

NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Mussa A Zungu aongoza mapokezi ya
Spika wa Comoro Mhe. Moustadroine Abdou leo katika uwanja wa Ndege wa
Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Mapokezi hayo yaliyofanyika leo tarehe 31 Agosti 2024 aliambatana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Vita Kawawa na Naibu Balozi wa Comoro nchini Tanzania Mhe. Bacar Salim




Related Posts