Picha:kikao cha shirikisho la askari wa Kike Ukanda wa Africa nchini Marekani

Katika picha ni kikao cha shirikisho la askari wa Kike Ukanda wa Africa (IAWP Africa Chapter) kilicho kutanisha washiriki kutoka ukanda huo ambapo walipata fursa ya kujadili mambo mbalimbali kabla ya kuwasilisha agenda zao katika Mkutano Mkuu wa mwaka(AGM) ambao unafanyika Chicago Nchini Marekani Septemba Mwaka huu.

 

 

Related Posts