Picha: Wafuasi wa CHADEMA wakiandamana kumsindikiza aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob

Picha: Wafuasi wa CHADEMA wakiandamana kumsindikiza aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob kurudisha fomu ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani.

Maandamano hayo yamefanyika kuanzia Manzese kuelekea Kinondoni ilipo ofisi ya Kanda ya Pwani kwa kutumia barabara za Manzese, Tandale, Mwananyamala na kumalizia Kinondoni

Related Posts