Wazir Jr kinara wa ufungaji KMC FC ajiunga Meridianbet

 

 

MUITE Wazir Jr ‘The King of CCM Kirumba’, kwa sasa anakipiga KMC FC inayodhaminiwa na kampuni namba moja kwa michezo ya ubashiri na kasino ya Mtandaoni– Meridianbet, wameungana na kufanya jambo kwa jamii anayoishi kijana huyu maeneo ya Kinyerezi-Tabata.

Wazir Jr ikumbukwe kuwa ndiye mchezaji kinara wa upachikaji wa magoli kwa klabu ya KMC FC akiwa na jumla ya magoli 11 huku msimu ukiwa bado unaendelea, ametwaa tuzo mbili za mchezaji bora wa mwezi kwa klabu yake na moja ya TFF.

Kupitia mafanikio hayo na mchango wake kwenye klabu Meridianbet iliamua kumpongeza Wazir Jr kwa kuunga mkono wazo lake la kusaidia jamii yenye uhitaji wa vyakula na mahitaji mengine ya kibinadamu.

“Mimi ni mchezaji natoka mtaani na nawakalisha jamii yangu inayonizunguka, mafanikio yangu ya ndani ya uwanja ni furaha kwangu na jamii yangu hivyo leo narudi tena kuwapa matunda ya kazi yangu, na niishukur Meridianbet ambao wamekuwa mstari wa mbele kufanikisha jambo hili, bila wao kuweka nguvu huenda lisingekamilika”- Wazir Jr.

Kwa upande wa wanufaika wa msaada huo walipongeza moyo wa kutoa kwa kijana Wazir Jr na kuishukuru pia Kampuni ya Ubashiri na michezo ya kasino ya Mtandaoni Meridianbet kuwakumbuka kwa mahitaji yao muhimu.

“Nakushuru sana Wazir Jr umejua kutuheshimisha kwa msaada huu, aidha kwa Meridianbet pia mbarikiwe na makapuni mengine waige mfano huu ni kitu kazuri kwa jamii”- Mnufaika.

Safari ya maisha ya kijana huyu ilianzia mtaani akicheza timu za mtaani, Baadae akaenda Simba kufanya majaribio mwaka 2014 lakini jina lake halifanikiwa kurudi, mwaka 2015 alijiunga na Toto Afrika ya Mwanza huko aling’ara sana na nyota yake kumulika mpaka vilabu vikibwa vya Ligi Kuu ikiwemo Yanga, Azam FC, Biashara Utd, Mbao na sasa anakipiga kwenye klabu ya mjini KMC FC.

Mpaka sasa ukiwa msimu wa 2023/24 unaendelea ana jumla ya mabo 50 ya kufunga kuanzia msimu wa 2015 akiwa na Toto Afrika, kongole kwa Wazir Jr endelea kukiwasha Zaidi, na ili kuwa mshindi kama Wazir sio lazima uwe mchezaji wa mpira unaweza kuwa mchezaji wa kasino ya mtandaoni na kubashiri michezo mingine iliyopo Meridianbet.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Related Posts