Cristiano Ronaldo afikisha mechi 1,230 mabao 901

 

Mwamba kabisa kipenzi cha watu wengi, anajua kufunga na kushangilia muite Cristiano Ronaldo CR7 Mnyama, moja kati ya mshambuliaji hatari Zaidi kuwahi kutokea tangu dunia inazishwe.

Naam!! Jamaa amecheza jumla ya mechi 1230 zenye ushindani, na amefunga jumla ya mabao 901 akiendelea kuisaka rekodi anayodhamiria kuiweka ya mabao 1000 yenye ushahidi wa video. Unaweza kumbetia Ronaldo kwa unavyoweza wewe kupitia Meridianbet wakali wa odds kubwa na michezo ya kasino ya mtandaoni.

Michuano ya Mataifa Ulaya inaendelea tena hii leo kwa mechi kadhaa, licha ya staa huyo wa Ureno kufunga kwenye mechi dhidi ya Scotland, kwenye ukurasa wa Mwanasoka bora wa dunia Mbrazil Hayati Pele umefanya mabadiliko ya Bio na kuandika mabao 1,283. Hivyo Ronaldo anadaiwa Zaidi ya mabao 300 amfikie Pele Noma sana.

Ukiwa na Meridianbet unaweza kuwa tajiri kwa kubeti michezo ya AFCON na UEFA Nations League, kuna Ethiopia vs DR Congo, Rwanda vs Nigeria, Botswana vs Misri. Mechi hizi zina odds kubwa, PIGA BURE *149*10# kuweka jamvi lako.

Kule Ulaya sasa watu wanaendelea kujipigia tu pesa, usiwe nyuma anza kufukuzia utajiri kwa mechi hizi zenye odds kubwa na machago lukuki; Ufaransa vs Ubelgiji, Israel vs Italia, Norway vs Austria nk

Rekodi za Kibabe Messi vs Ronaldo

Ronaldo: Mabao 901 na pasi za mabao 252 katika mechi 1,230

Messi: Mabao 838 na pasi za mabao 374 katika mechi 1,066

Hat-tricks: Ronaldo 66; Messi 57

Uwiano wa mabao kwa mechi: Ronaldo 0.73; Messi 0.79

Penati: Ronaldo 164; Messi 109

NB: Jisajili na Meridianbet, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

About The Author

Related Posts