LICHA ya Yanga wikiendi iliyopita kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya CBE katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini mastaa wa timu hiyo wameonekana kutoamini kilichotokea huku ikitajwa sapraizi kwenda kutokea pale Zanzibar.