POLISI YATHIBITISHA KUMSHIKILIA BONI WA MBEZI MSAKUZI

Jeshi la Polisi nchini lathibitisha kumshikilia Boniface Jacob wa Mbezi Msakuzi kutokana na makosa ya kijinai aliyotuhumiwa.

Hivyo liweiasa jamii kupuuza taarifa ya uwongo inayosambazwa mitandaoni kuwa mtu huyo ametekwa.

#KonceptTvUpdates

Image

 

Related Posts