, SAMIA CUP yazinduliwa Morogoro

Morogoro Kusini Mashariki inajengwa kwa sauti zaidi ya moja zenye kupaza juu mafanikio kwa kila sekta.

Kwetu sisi kuamua ni jambo tusiloweza kuliacha kwa maana tunajua kuwa upo uwezekano wa kufanikiwa katika yote na kufanikiwa zaidi kwenye machache.

Michezo ni sehemu yetu pia ambayo tunaamini tunaweza kufikia malengo makubwa kama Jimbo na Mtu mmojammoja.

Katika kufanikisha hili tunamleta Mwanamichezo namba moja Tanzania kwa Wanamorogoro Kusini Mashariki kama alama ya kuthamini mchango wake, SAMIA CUP.

Jina la michuano ni kielelezo cha kukubali, kutambua, kuheshimu na kuunga mkono jitihada za maendeleo makubwa anayotupa Rais wetu.

Related Posts