MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA UFUATILIAJI NA UDHIBITI WA MAGONJWA (IDSR) NGAZI YA MKOA YAFANYIKA IRINGA

Wizara ya Afya kupitia Idara ya Kinga katika udhibiti na Ufuatiliaji wa magonjwa imefanya kikao cha mapitio ya utekelezaji wa Shughuli za Ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa yaliyopewa kipaumbele ngazi ya Mkoa.

Waratibu wa Mkoa na Ufuatiliaji wa Magonjwa toka Mikoa 26 walikutana mkoani Iringa kwa lengo la kufanya mapitio ya utekelezaji wa shughuli za IDSR nchini ili kuweza kubaini na kutatua changamoto katika utoaji wa taarifa za Ufuatiliaji na kudhibiti Magonjwa nchini

Related Posts