Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha wageni wakati alipofanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres kwenye Ofisi za makao makuu ya umoja huo, New York Nchini Marekani Septemba 21, 2024.
Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres walipofanya mazungumzo kwenye Ofisi za makao makuu ya umoja huo, New York Nchini Marekani Septemba 21, 2024.
Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 21, 2024 amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres kwenye Ofisi za makao makuu ya umoja huo, New York Nchini Marekani
Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).