Jeshi la polisi linawashikilia viongozi wa CHADEMA pamoja na waliokaidi tamko la kupanga na kufanya maandamano

Kamanda wa Kanda Maalum DSM Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14 akiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman MBOWE, Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu na Mwenykiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema.

Kamanda Muliro  amesema hayo mbele ya waandishi wa habari hii leo Septemba 23 tarehe tajwa ya maandamano hayo Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam.

Related Posts

en English sw Swahili