Kutoka Mwanza: Picha za maeneo ya Jiji la Mwanza maandamano yaliyopangwa na CHADEMA hii leo

Kutoka Mwanza: Picha za maeneo ya Jiji la Mwanza zikionesha hali ya utulivu huku wananchi wakiendelea na shughuli zao za kila siku.

Hapo jana Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza lilifanya mazoezi ya utayari likizunguka maeneo mbalimbali ya Jiji.

Itakumbukwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kilitangaza kufanya maandamano leo Sep 23, 2024 Jijini Dar es salaam.

 

Related Posts