Picha :Mke na mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe Oysterbay

Mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Nicole Mbowe  ambaye alikamatwa na Polisi leo Jumatatu Septemba 23, 2024 eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam akifanya mahojiano na waandishi wa habari pamoja na mama yake Lilian Mtei waachiwa huru muda huu Katika kituo cha polisi Oysterbay

Nicole alikamatwa na polisi, ikiwa muda mfupi baada ya baba yake, Freeman Mbowe kukamatwa eneo hilo hilo la Magomeni ambapo yalitakiwa kuanza maandamano ya CHADEMA  ambayo hata hivyo, Jeshi la Polisi kupitia msemaji wake, David Misime lilitangaza kuyapiga marufuku.

Related Posts