Picha: RAIS SAMIA aendelea na ziara yake, afika Wilaya ya Namtumbo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Maelfu ya Wananchi waliofurika Barabara kwenye vituo mbalimbali ikiwemo kata ya Litola, Rwinga, Mchomoro na tarafa ya Matemanga kumlaki alipotembelea Wilaya za Namtumbo na Tunduru wakati wa Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma leo September 26,2024.

 

Related Posts