MEYA WA NEW YORK MAREKANI ASHTAKIWA KWA MAKOSA YA JINAI – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

 

Meya wa Jiji la New York nchini Marekani, Eric Adams ameshtakiwa wakati uchunguzi wa makosa ya jinai juu ya Uongozi wake ukiendelea.

 

 

 

Uchunguzi huo ulianza baada ya mfululizo wa mambo yaliyohusu Uongozi wa Jiji hilo ikiwemo kujiuzulu ghafla kwa maofisa kadhaa wa juu.

 

 

 

 

Adams anakuwa Meya wa kwanza kati ya Mameya 110 waliowahi kuliongoza Jiji hilo kupatwa na mashtaka ya jinai akiwa Madarakani Meya huyo amesema kuwa mashtaka yote ni ya uongo na hatoachia nafasi yake ya kuliongoza Jiji la New York.

Related Posts