Kama sio leo kupiga pesa na Meridianbet utapiga lini?

 

Mambo vipi mteja wa Meridianbet je unajua kuwa Jumamosi ya leo unayo nafasi kubwa ya kutimiza ndoto zako ukibashiri za leo na Meridianbet? Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako hapa.

Darubini yangu inaanza kumulika ligi kuu ya Uingereza EPL, ambapo mapema kabisa saa 8:30 mchana Manchester City baada ya kulazimishwa sare nyumbani leo atakuwa ugenini dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe. Pep Guardiola na vijana wake wanahitaji ushindi leo wazidi kujiimarisha kileleni. Je wataweza kushinda leo pale St James’ Park? Meridianbet wanampa City nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.57 kwa 5.09. Beti mechi hii.

Utamu mwingine utakuwa kwenye mechi hii ya Brentford vs West Ham huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa  2 pekee. Nyuki wanaingia uwanjani wakikumbuka kupokea kipigo kizito kutoka kwa Wagonga Nyundo. Thomas Frank na vijana wake wamepewa ODDS 2.20 kwa 3.09 kushinda mtanange huu. Beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.

Je unajua kuwa una leo hii una nafasi ya kuondoka na kibunda mfukoni kwako?. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Nao The Blues baada ya kushinda mchezo wao uliopita ugenini, leo watawaalika Brighton ambao hawajapoteza mchezo wowote hadi sasa. Tofauti ya pointi kati yao 1 pekee huku msimu uliopita, Chelsea alishinda mechi zote mbili. 1.67 kwa 4.41 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi lako hapa.

Vilevile Wolves ambao hawajashinda mechi yoyote kwenye mechi 5 watakuwa na kibarua cha kushinda mbele ya Liverpool ambaye kapoteza mechi 1 pekee. Gary O’Neil leo anahitaji ushindi ili ajinasue kwenye nafasi aliyopo. Lakini je ataweza mbele ya Arne Slot? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa.

Ukiachana na ligi pendwa, Jumamosi hii BUNDESLIGA nayo itaendelea VFL Wolfsburg atakiwasha dhidi ya VFB Stuttgart ambaye alishinda kwa kishindo mchezo wake uliopita. Msimu uliopita mechi zote mbili mwenyeji alipoteza. Leo kulipa kisasi ana ODDS 3.19 kwa 2.09. Pesa yako unampa nani leo?. Tandika jamvi lako hapa.

RB Leipzig baada ya kulazimishwa sare ugenini, leo hii atakuwa mwenyeji wa FC Ausburg ambaye alipoteza mechi yake iliyopita. Mara ya mwisho kuonana walitoa srae ya kufungana. Meridianbet wanampendelea mwenyeji kushinda kwa ODDS 1.40 kwa 6.27. Beti hapa.

Mtanange mkali leo Ujerumani ni huu unaowakutanisha mabingwa mara nyingi wa ligi hiyo Bayern Munich dhidi ya bingwa mtetezi Bayer Leverkusen majira ya saa saa 1:30 usiku. Msimu uliopita kwenye mechi mbili walizokutana Alonso alichukua pointi 4. Lakini sasa Bayern ipo chini ya Kompany. Allianz Arena itawaka moto kwa ODDS 1.64 kwa 4.60. Bashiri mechi hii.

Unaweza ukakung’uta mkwanja wa maana na mechi za LA LIGA leo Getafe atakuwa uso kwa uso dhidi ya Deportivo Alaves huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 6 ambapo mwenyeji yupo nafasi ya 19 na mgeni wake wa 8. ODDS za mechi hii ni 2.65 kwa 3.09. Beti mechi hii.

Kipute kingine kitakuwa kwenye mechi hii ya Real Sociedad vs Valencia ambapo timu hizi zinafanana pointi yaani wote wana alama 5. Lakini wote pia wametoka kutoa sare mechi zao zilizopita. Je kwa ODDS ya 1.92 kwa 4.50 nani ataondoka kidedea?.Jisajili mechi hii.

Nao vijana wa Hans Flick Barcelona watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya CA Osasuna ambao wapo nafasi ya 7. Ikumbukwe kuwa Barca mpaka sasa ndio timu pekee Laliga mbayo imeshinda mechi zote. Je Flick ataendeleza moto leo?. Mechi hii imepewa ODDS 5.68 kwa 1.49. Bashiri hapa.

Meridianbet pia wanakwambia pia unaweza ukapiga pesa na mechi za SERIE A ambapo Udinese atamualikwa kwake Inter Milan ambaye ni bingwa mtetezi. Inzaghi ametoka kupoteza mchezo wake uliopita halikadhalika kwa mwenyeji. Milan yupo nafasi ya 7 na mwenyeji ya 4. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda Inzaghi kwa ODDS 1.42 kwa 6.86. Suka mkeka wako hapa.

Genoa uso kwa uso dhidi ya Juventus huku mwenyeji kwenye mechi 5 alicheza amekusanya pointi 5, wakati kwa mgeni yeye ana pointi 9 mpaka sasa. Ikumbukwe kuwa timu hizi msimu uliopita walitoa sare mechi zote. Je leo nani kuondoka na pointi 3?. Beti sasa mechi hii ambayo ina machaguo zaidi ya 1000.

Vivile Atalanta baada ya kupoteza mechi iliyopita nyumbani leo atakiwasha dhidi ya Bologna ambao walishinda. Pesa ipo hapa suka jamvi lako na ubashiri mechi hii yenye ODDS 2.89 kwa 2.45.

LIGUE 1 kule Ufaransa RC Lens atakipiga dhidi ya OGC Nice baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita. Pia Lens anaingia dimbani akikumbuka kuchapika mechi ya wmisho waliyokutana. Je leo anaweza kulipa kisasi huku Meridianbet wakiwa wamempa ODDS 2.01 kwa 3.72. Beti hapa.

AS Monaco atapepetana dhidi ya Montpellier saa nne usiku huku ushindi wa mwenyeji leo utampeleka hadi nafasi ya 2 huku mgeni yeye akishinda leo atapanda hadi nafasi ya 9 kutoka ya 16. 1.31 kwa 7.64 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili sasa.

About The Author

Related Posts