Bashiri na Meridianbet mechi za leo

 

Jumapili ya leo mechi mbalimbali zinaendelea ambapo nafasi ya kuwa tajiri iko mikononi mwako. Man U, Real Madrid, Napoli na wengine kibao wapo dimbani. Bashiri sasa.

Ligi kuu ya Uingereza leo kutakuwa na mechi kali kabisa ambayo inawakutanisha kati ya Tottenham Spurs vs Manchester United ambao wametoka kutoa sare mchezo wao uliopita. Mechi ya mwisho kukutana timu hizi mbili walitoshana nguvu. Leo Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Spurs akiwa na ODDS 2.20 kwa 2.94, Bashiri mechi hii.

Pia LA LIGA nayo itaendelea hii leo Athletic Club ataumana dhidi ya Sevilla ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 13, ambapo mwenyeji yupo nafasi ya 7 na mgeni yupo nafasi ya  14. Mara ya mwisho kukutana, Bilbao alishinda. Je leo hii kwa ODDS 1.76 kwa 4.70 nani kushinda leo?. Jisajili hapa.

Nafasi ya kuondoka na kibunda mfukoni kwako ni uamuzi wako ukiwa na meridianbet?. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Saa moja usiku Real Betis atakipiga dhidi ya Espanyol Barcelona huku Meridianbet wakimpendelea mwenyeji kuondoka na pointi 3 kwa ODDS ya 1.49 kwa 6.46. Je wewe pesa yako unampa nani leo? Bashiri na Meridianbet.

Mechi kubwa leo huu kule Hispania ni hii inayowakutanisha kati ya Atletico Madrid vs Real Madrid. Tofauti ya pointi kati yao ni mbili pekee ambapo mara ya mwisho kukutana, walitoshana nguvu. Real kushinda leo ana ODDS 2.69 kwa 2.74. Jisajili sasa.

Kule Ujerumani leo kutakuwa na mechi mbili ambapo Frankfurt atakuwa ugenini VS Holstein Kiel ambao walitoa sare mechi yao iliyopita, wakati kwa mgeni yeye akishinda mechi yake iliyopita. Suka jamvi mechi hii yenye machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Wakati TSG Hoffenheim atapepetana dhidi ya Werder Bremen ambapo msimu uliopita mechi ya mwisho walipokutana, mwenyeji alishinda. Je mgeni kulipa kisasi leo ugenini?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.28 kwa 2.79. Beti sasa.

Pia unaweza ukabeti mechi za ligi ya Italia SERIE A leo ambapo Empoli atakuwa uso kwa uso dhidi ya Fiorentina ambao walishinda mchezo wao uliopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee ambapo mwenyeji kushinda leo ana ODDS 3.52 kwa 2.15 Ingia na ubashiri sasa.

SSC Napoli atamenyana dhidi ya Monza baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita. Mechi hii itapigwa pale Diego Maradona ambapo Conte na vijana wake ndio wanapendelewa kushinda leo kwa ODDS 1.30 kwa 9.40. Bashiri hapa.

Kusanya mpunga wako kule Ufaransa ambapo LIGUE 1 kama kawaida kuna mitanange ya kutosha Angers atamkaribisha Stade Reims ambapo mechi ya mwisho kukutana walitoa sare. Meridianbet wamempa mgeni nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 2.18 kwa 3.47. Jisajili hapa.

Nao Marseille watakuwa ugenini leo dhidi ya Strasbourg huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet. Unasubiri nini sasa?. Ingia na ubeti mechi ii kwa mabingwa wa ubashiri Tanzania.

About The Author

Related Posts