DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA MAMA WA ABOUBAKARY LIONGO

 

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo ambaye yeye ni Afisa Msaidizi Idara ya Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM aliyefariki jana na kuzikwa Leo kwenye Makaburi ya kisutu.

Katibu Mkuu ameongozana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu)pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali akiwemo Tido Mhando, Issa Michuzi pamoja na Viongozi wengine wa Chama na serikali.

#KaziIendelee
#ShirikiUchaguziwaSerikalizaMitaa.

Related Posts