Aliyekuwa Mgombea Ubunge kupitia CHADEMA,ajiunga na ACT Wazalendo

Aliyekuwa Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Songea Mjini Mwaka 2015 na Mwenyekiti Mwanzilishi wa Kanda ya Kusini Ndugu, Joseph Lusius Fuime amejiunga na ACT Wazalendo
Ndugu Fuime amepokewa leo Oktoba 2, 2024 na Kiongozi wa Chama hicho Doroth Semu mbele ya mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Ukumbi wa Gradon Viral Songea Mjini Ruvuma.

Ndugu Foime ataja rushwa kua ni moja ya sababu ilio mfanya kuondoka Chadema.

Related Posts