MAKAMU WA RAIS AKIWASILI ARUSHA KUSHIRIKI MKUTANO WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Arusha leo tarehe 02 Oktoba 2024. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa 53 wa Mwaka wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika utakaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Gran Melia Jijini Arusha tarehe 03 Oktoba 2024.
 

Related Posts