Picha: Waziri Aweso ashiriki iliyoandaliwa na TBL na WWF, Dar es Salaam

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso leo tarehe 03 Octoba 2024 ameshiriki, kutoa hotuba na kuzindua taarifa katika hafla ilioandaliwa na TBL na WWF inayohusu Ushiriki wa sekta binafsi kwenye utunzaji wa vyanzo vya maji mfano Bonde la Maji WamiRuvu pamoja Uzinduzi wa taarifa mahususi ya mradi wa Usalama wa Maji, hafla hiyo imefanyika Serena hoteli Jijini Dar es Salaam

Waziri Aweso ameambatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri.

Related Posts