DIDA SHAIBU WA WASAFI FM AFARIKI DUNIA – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

 

Mtangazaji wa Wasafi FM, Dida Shaibu amefariki Dunia usiku huu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua na kulazwa.

 

Dida alipata umaarufu mkubwa akiwa kituo cha radio cha Times FM, na kipindi chake cha Mitikisiko ya Pwani, kabla ya kuhamia kituo cha radio cha Wasafi Fm.

 

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.

Related Posts