IGP WAMBURA AFANYA KIKAO KAZI NA ASKARI KIGOMA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Camillus Wambura, Oktoba 5,2024 amewasili mkoani Kigoma na kufanya kikao kazi
na kuwa na majadiliano ya ndani na Maofisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo
mbalimbali waliopo mkoani humo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi
katika mikoa ya Kanda za Kipolisi. Picha na Jeshi la Polisi

 

Related Posts