MSIGWA ATINGA KATIKA PAMBANO LA NGUMI USIKU

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa pamoja na viongozi mbalimbali na mashabiki wa ndondi wakifuatilia mapambano yanayoendelea muda huu kwenye ukumbi wa City Centra Hall Magomeni Jijini Dar Es Salaam.

Usiku wa KNOCKOUT YA MAMA utawakutanisha mabondia kutoka nchi za Ghana, Uganda, South African, Tanzania na Angola wanatarajia kuchuana katika usiku huu 

Bondia wa Tanzania Said Mohamed anatarajia kucheza Pambano la  IBA Intercontinental dhidi ya mpinzania wake Lusanda Komanisa wa africa kusini 

Huku Ibrahim Mustafa atacheza pambano la WBC Africa dhidi ya Ecoch Tettey wa Ghana 

 

Related Posts