MAKAMU WA RAIS AKIONDOKA LESOTHO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mashoeshoe mjini Maseru nchini Lesotho mara baada ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sherehe za Miaka 58 ya Uhuru wa Lesotho na Miaka 200 ya kuanzishwa kwa Ufalme wa Lesotho zilizofanyika katika Uwanja wa Setsoto Mjini Maseru tarehe 04 Octoba 2024.

Related Posts