Habari EXIM BANK YASHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA October 7, 2024 Admin Mkuu wa Kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia wa benki ya Exim Tanzania, Nelson Kishanda akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 katika tawi la benki hiyo la Samora Avenue. Kushoto kwake ni Frank Matoro, Meneja Mkuu wa Huduma za Wateja. Wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania wakifanya matembezi ya amani wakati wa kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 ambapo walitembea kutoka Makao Makuu ya benki hiyo, Exim Tower mpaka tawi lake la Samora Avenue jijini Dar es Salaam mnamo tarehe 5 Oktoba 2024. Related Posts Habari PIRAMID YA AFYA: Kutopenda kula inaweza kuwa tatizo la kiakili January 17, 2025 Admin Habari KONA YA MSTAAFU: Kila mtu ni mstaafu mtarajiwa anayepaswa kutetea wastaafu January 17, 2025 Admin