MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA OFISI ZA CCM TABORA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tabora na kuzungumza na Viongozi na Wanachama wa CCM kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi katika Wilaya za Sikonge, Urambo na Kaliua leo tarehe 11 Oktoba 2024.

Related Posts