RAIS SAMIA AKISHIRIKI MISA YA KUMBUKUMBU YA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU J. K. NYERERE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na waumini wa Kanisa Katoliki kwenye Ibada ya Misa Takatifu ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri- Nyakahoja Jijini Mwanza tarehe 14 Oktoba, 2024.            

Related Posts