Klabu ya Simba yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya ujenzi KNAUF

Simba SC wameingia Mkataba wa udhamini wa mwaka mmoja na Kampuni ya vifaa vya ujenzi ya Kijerumani ya KNAUF wenye thamani ya Tsh milioni 200.

 

Simba SC inakuwa timu ya kwanza kuwahi kudhaminiwa na Kampuni hiyo ya Kijerumani iliyopo katika mataifa zaidi ya 90 Duniani.

 

Related Posts