Picha: Kikao Kazi Menejmenti ya Heslb na Marisa Mikopo wa Vyuo vya Elimu ya Juu na kati wakutana Arusha

Leo Oktoba 16, 2024, Menejimenti ya HESLB imekuwa na kikao kazi na Maafisa Mikopo kutoka vyuo vikuu na vya kati kwa lengo la kupeana mikakati ya usimamizi wa fedha za mikopo kwa wanafunzi wa vyuo kwa mwaka wa masomo wa 2024/2025, ikiwa ni pamoja na kuangalia namna bora ya kuboresha huduma kwa wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu.

Kikao kazi hicho kimefunguliwa rasmi na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Dkt. Charles Mkombachepa ambaye amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Related Posts