RAIS MWINYI AZUNGUMZA NA WAZIRI WA KILIMO WA IRAN IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Kilimo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Dr.Gholamreza Nouri (kulia kwa Rais wa Pili ) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-10-2024, akiwa na ujumbe wake.(Picha na Ikulu)
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri wa Kilimo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Dr.Gholamreza Nouri, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo. 18-10-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya picha na mgeni wake Waziri wa Kilimo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Dr.Gholamreza Nouri, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo. 18-10-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Waziri wa Kilimo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Dr.Gholamreza Nouri, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo. 18-10-2024.(Picha na Ikulu)

Related Posts